Thursday, April 16, 2026
Home 2026 March

Monthly Archives: March 2026

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAIPONGEZA TANESCO UTEKELEZAJI WA MRADI...

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa usimamizi na utekelezaji mzuri wa Mradi wa Uzalishaji...

TANZANIA, SAUDI ARABIA KUIMARISHA BIASHARA NA UWEKEZAJI

0
Serikali ya Tanzania na Ufalme wa Saudi Arabia zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji, kwa lengo la kufungua fursa mpya za kiuchumi na...

SEMNA YA EWURA SINGIDA YAJADILI UVUNAJI WA MAJI, MATUMIZI SALAMA YA GESI NA HUDUMA...

0
Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa semina iliyotolewa na EWURA  kuhusu uvunaji na uhifadhi wa maji ya mvua kwa wadau mbalimbali mkoani...

Benki ya Absa Tanzania Yalenga Kuwezesha Wasichana 5,000 Kupata Ujuzi wa AI Kupitia Mpango...

0
Benki ya Absa Tanzania, kwa ushirikiano na Microsoft na Women in Tech, imezindua rasmi Mpango wa ElevateHer AI nchini Tanzania, ambao unalenga kuwawezesha wasichana...

UJUMBE WA KATIBU MKUU WA TRAMEPRO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FIGO –...

0
Kwa niaba ya Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO), napenda kuungana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na...

TRA NA TAFFA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA USIMAMIZI WA MAADILI YA WATUMISHI

0
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Shaibu Mmari, amesema ushirikiano kati ya TRA na mawakala...

RAMADHAN CHARITY PROGRAM 2026 YATOA SADAKA YA IFTAR GEREZA LA SINGIDA (M)

0
Ofisi ya BAKWATA Mkoa wa Singida, kupitia Sheikh wa Mkoa huo Issa Bin Nassoro, imezipongeza taasisi za Ramadhan Charity Programme2026, inayoongozwa na Ndugu Ahmed...

REA YAFANYA ZIARA YA UHAMASISHAJI MIRADI YA NISHATI VIJIJINI MKOANI IRINGA .

0
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa ni pamoja na matumizi ya vifaa vya kisasa...

USHINDI WA PIKIPIKI WAFUNGUA MILANGO YA AJIRA

0
Mkazi wa Dar es Salaam, Jerome Mushi, amejishindia pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubahatisha...

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA JENGO LA GHOROFA 10 CBE

0
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb), ameeleza kuridhishwa kwake na hatua ya ujenzi...