KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA JENGO LA GHOROFA 10 CBE
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Deodatus Mwanyika, ameeleza kuridhishwa kwake na hatua ya ujenzi wa...
WIZARA YA ELIMU YAONGEZA MSUKUMO LISHE BORA KWA WANAFUNZI MASHULENI
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afrika ya Chakula Shuleni na Siku...
BALOZI MASILINGI APONGEZA MCHANGO WA MGODI WA DHAHABU WA GEITA KATIKA MAPATO YA SERIKALI
📍*Geita.*
Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI, Balozi Wilson Masilingi, ametembelea Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited akiambatana na Menejimenti ya TEITI, kwa lengo...
FCC YAENDELEA KUSIMAMIA USHINDANI WA HAKI KATIKA SEKTA YA UJENZI
Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam.
Tume ya Ushindani (FCC) imesema wazalishaji wa vifaa vya ujenzi wana wajibu wa kumlinda mlaji kwa kuhakikisha wanazalisha na...
KAMATI YA BUNGE YAAGIZA UDHIBITI WA USAHIHI WA VIPIMO UONGEZEWE NGUVU
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeiagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kuongeza nguvu katika kudhibiti usahihi wa vipimo ili...
WANAFUNZI WATAKIWA KUFICHUA VITENDO VYA UKATILI
Na Hadija Dachi
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Makambi iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wametakiwa kufichua vitendo vya ukatili na udhalilishaji watakavyobaini kutokea shuleni...
FCC YASISITIZA ULINZI WA WALAJI KWENYE MIKATABA YA UPANDE MMOJA
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam, Machi 10, 2026. Tume ya Ushindani (FCC) imesema itaendelea kusimamia kwa karibu haki za walaji kwa taasisi na kampuni...
DKT. MUYUNGI ASISITIZA KASI UJENZI WA JENGO LA OMR, MTUMBA DODOMA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akipata maelezo kuhusu hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa mradi wa jengo la ofisi hiyo...
BALOZI WA IRELAND NA NM-AIST WAJADILI UTEKELEZAJI WA SAMIA SCHOLARSHIP DS/AI+
Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Mhe. Nicola Brennan na uongozi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) wamejadiliana namna...
WANAWAKE WANUFAIKA NA FURSA ZA UNUNUZI WA UMMA BAADA YA USIMAMIZI MZURI WA PPRA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Rosemary Senyamule, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma kwa kusimamia vizuri upatikanaji wa fursa za Ununuzi...













