Thursday, April 16, 2026
Home 2026 March

Monthly Archives: March 2026

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI: WANAWAKE FCC WAHIMIZWA KUJITUMA ZAIDI

0
Na Mwandishi Wetu Wanawake wa Tume ya Ushindani (FCC ) wametakiwa kuwa na  upendo ambao utajenga mshikamano na kuleta ufanisi katika Taasisi. Hayo ameyasema Mwakilishi wa...

KUTOKA KANISANI HADI SHAMBANI: SIMULIZI YA SISTA ALIYENOLEWA NA PROGRAMU YA TAIFA YA KUKUZA...

0
Mnufaika wa Programu ya Taifa ya Ukuzaji Ujuzi, Mtawa Vestina Damian akizungumza kwa furaha mafanikio aliyopata kupitia Programu hiyo inayoratibiwa na Ofisi ya Waziri...

WAZIRI ULEGA AWATAKA WANANCHI KUILINDA NCHI YAO

0
Na Mwandishi Wetu  Mbunge wa Jimbo la Mkuranga na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wananchi wa Wilaya ya Mkuranga kuendelea kuilinda na kuitunza amani...

TPSC TANGA WATOA MISAADA NA KUFANYA USAFI KATIKA KITUO CHA AFYA NGAMIANI JIJINI TANGA

0
Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Kampasi ya Tanga leo tarehe 7 Machi 2026 kimetekeleza shughuli ya kutoa huduma kwa jamii kwa kutembelea...

WANAWAKE  TBA DODOMA WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

0
Wanawake wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) mkoa wa Dodoma leo Machi 8, 2026 wameungana na wanawake wenzao wa mkoa wa Dodoma, Tanzania na...

EWURA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

0
Wafanyakazi wanawake wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wakiwa katika maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake...

WMA WATOA ELIMU YA VIPIMO MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

0
Wakala wa Vipimo (WMA) wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Kimataifa, kwa kutoa elimu ya vipimo kwa wadau mbalimbali waliofika Kongwa, Dodoma mahali...

MCHANGO WA WMA KUWEZESHA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE WATAMBULIWA

0
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma imetoa cheti cha shukrani kwa Wakala wa Vipimo (WMA) ikitambua mchango wake katika kuwezesha maadhimisho ya Siku...

DC NYAMWESE: RAIS SAMIA ANAWATUA NDOO KICHWANI WANAWAKE WA HANDENI

0
Na Mwandishi Wetu MKUU wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuwatua ndoo kichwani wanawake wa Handeni kupitia utekelezaji wa...

WANAWAKE 1916 WAHUDHURIA SAMIA ARDHI KLINIKI DODOMA KUFUATILIA HATI ZA ARDHI

0
Na.Alex Sonna-DODOMA JUMLA  ya wanawake 1916 wamefika katika viwanja vya Ofisi za Ardhi kufuatilia hati zao za ardhi na kupata huduma mbalimbali za masuala ya...