PWANI YETU YAWAPA KICHEKO WAKAZI WA MWAMBANI, TANGA
Na Boniface Gideon, TANGA
Wakazi wa Kata ya Tanga Sisi, mtaa wa Mwambani Jijini Tanga, wamepatiwa shilingi milioni 10.5. Fedha hizo zinalenga kuwaongezea mitaji wavuvi...




