Home Kitaifa TCDC, BOT WAKINGIANA VIFUA

TCDC, BOT WAKINGIANA VIFUA

Timu ya Mpira wa miguu TCDC Sports Club imeonyeshana ubabe na Timu ya Mpira wa miguu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) baada ya kutoka sare ya goli mbili kwa mbili katika mechi ya kirafiki iliyochezwa leo Aprili 24, 2026 katika viwanja vya Chai mkoani Njombe.

Hapo Aprili 22, 2026 TCDC Sports Club ilikubali kipigo cha bao moja bila 1- 0 kutoka Timu ya Mpira wa miguu ya TANWART katika mechi ya kirafiki iliyochezwa viwanja vya Kibena mkoani humo.

TCDC Sports Club inaendelea kushiriki Michezo ya kirafiki mkoani humo baada ya kushindwa kuvuka hatua za makundi kwenye Mashindando ya Michezo ya Meimosi inayoendelea mkoani humo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!