MAWENI LIMESTONE YAJIZATITI KULINDA AFYA YA WAFANYAKAZI
Wataalamu kutoka Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) wamehitimisha mafunzo maalum ya ulinzi na usalama dhidi ya mionzi kwa wafanyakazi wa Maweni Limestone...
KITENGO CHA METROLOJIA TBS KUCHOCHEA UKUAJI WA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI
Na Mwandishi Wetu.
Wito umetolewa kwa Wawekezaji, Wafanya biashara na Wazalishaji nchini kutumia huduma za Shirika la Viwango Tanzania (TBS), hususan katika sekta ya vipimo...
MAANDALIZI YAKAMILIKA TAMASHA LA PASAKA KUFANYIKA APRILI 5 DAR ES SALAAM
Tamasha la Pasaka ‘Mtoko na Christina Shusho’
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Aprili 5, 2026, siku ya...
WAFANYAKAZI WA TUME YA TAIFA YA MIPANGO WATAKIWA KUWA WABUNIFU NA WELEDI
Katibu Mkuu-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango Dkt Tausi M. Kida ametoa wito kwa watendaji wa Tume hiyo kufanya kazi...
WIKI YA HAKI ZA MLAJI YAADHIMISHWA KWA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA...
Na.Mwandishi Wetu
TUME ya Ushindani (FCC) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imeadhimisha Wiki ya Haki za Mlaji Duniani kwa kutoa msaada wa vifaa tiba...
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA...
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea kati ya Marekani kwa kushirikiana na Israeli...









