Monday, May 18, 2026
Home 2026 April

Monthly Archives: April 2026

MRADI WA BILIONI 3.8 WAKAGULIWA KATA YA KWEMBE

0
Kwembe, Ubungo Ziara ya kukagua maendeleo ya mradi utakaozinduliwa na Mwenge imefanyika katika Shule ya Sekondari Barbro Johanson iliyopo ndani ya Kata ya Kwembe. Mradi...

AFRIKA YAUNGANA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA SOKO LA KIMATAIFA

0
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo, amesema kuwa mkutano wa taasisi za ushindani barani Afrika umeleta pamoja wadau muhimu kutoka nchi mbalimbali...

MAMLAKA YAKAMATA BASI LENYE MIRUNGI KILO 101.2, WASIMAMIZI WA HOSTELI NA WENGINE 77 WAKITIWA...

0
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya Abood, lenye namba...

TBS KUHAKIKISHA MATUMIZI BORA NA SALAMA YA NISHATI NCHINI , WAANDAA VIWANGO VYA UFANISI.

0
Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha matumizi bora na salama ya nishati nchini kwa kuandaa viwango vya...

TUME NA WADAU KUJADILI VIPAUMBE 6 VYA FYDP KWA KINA

0
Serikali itahakikisha vipaumbele vya Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP IV) vinaakisi uhalisia wa mchango wa Sekta Binafsi, inayotarajiwa kuchangia takribani...

PROF MKENDA ATANGAZA FURSA ZA UFADHILI KWA PROGRAMU ZA UZAMILI KATIKA SAYANSI YA DATA...

0
▪︎ Asisitiza Vijana kuomba udahili na ufadhili* ▪︎ Asisitiza Uwazi na Ushindani* Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza rasmi kutolewa kwa ufadhili...

WAZIRI KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA 13 WA KAMATI TENDAJI YA SHIRIKISHO LA MAMLAKA ZA...

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati akifungua Mkutano wa 13 wa...

KAPINGA: SERIKALI KUENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wanawake wajasiriamali kwa kuwaondolea vikwazo na kurahisisha taratibu za urasimishaji...

TBS WATOA VYETI NA LESENI 143 KWA WAZALISHAJI WA BIDHAA MKOANI PWANI NA KUZINDUA...

0
Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kuzindua ofisi mpya katika mkoa wa Pwani, na kutoa vyeti...

REA KUSAMBAZA MAJIKO BANIFU 10,300 MKOA WA TABORA

0
Katika kutekeleza Malengo ya Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ikiwamo lengo la Asilimia 80 ya Watanzania wanatumia Nishati Safi...