MPANGO WA MKOA WA AFYA MOJA WAANDALIWA TANGA
Mpango wa Afya Moja kwa mkoa wa Tanga umeendelea kuandaliwa ukiwa na lengo la kuainisha Afua mbalimbali za kuboresha uratibu wa utekelezaji wa Dhana...
TTCL YAZINDUA KITUO CHA FTTX KIJITONYAMA, YALENGA KUBORESHA HUDUMA KWA WATEJA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Moremi Marwa, amesema uzinduzi wa Kituo cha Kijitonyama cha FTTX Experience Center ni sehemu ya utekelezaji...
HATUA MPYA PANGANI! USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA RUZUKU WAANZA RASMI
Wilaya ya Pangani mkoani Tanga imepiga hatua muhimu katika kuboresha maisha ya wananchi wake kupitia utambulisho wa mradi wa uuzaji na usambazaji wa mitungi...
Tanzania Yaangazia Teknolojia na Idadi ya Watu Kukuza Maendeleo Endelevu
Na John Mapepele, New York- Marekani.
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa matumizi sahihi ya teknolojia na utafiti yana nafasi kubwa katika kushughulikia...
TAIFA GAS YAANZA KUTOA ELIMU MATUMIZI YA GAS
Na Boniface Gideon, TANGA
Wadau wa sekta ya nishati wanaendelea kusisitiza umuhimu wa matumizi ya nishati safi ili kulinda afya za wananchi na mazingira, huku...
MABALOZI WATEULE WAIPONGEZA WIZARA KWA MAGEUZI YA ELIMU, WAAHIDI KUSUKUMA AJENDA YA UMATAIFAISHI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda leo Aprili 14, 2026 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule watakaoiwakilisha...
TCDC YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA WACHEZAJI
Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) Dkt. Benson Ndiege kushirikiana na Uongozi wa TCDC Sports Club wanunua vifaa...
UUNGANISHAJI UMEME MOROGORO MBIONI KUANZA, REA YAKABIDHI ENEO
Wakandarasi wanaotekelza miradi ya kusambaza umeme nchini wametakiwa kushirikiana kwa karibu na Viongozi wa Serikali za Mitaa ili utekelezaji wa miradi ya kupeleka umeme...
“NGUVU YA PAMOJA YATAKIWA KATIKA MAFANIKIO YA DHANA YA AFYA MOJA” DKT. MANYATTA
Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Afya Moja kutoka Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu inayoshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye...
WAKAGUZI WA NDANI WAASWA KUZINGATIA UADILIFU, WELEDI NA MAADILI KATIKA KULINDA RASILIMALI ZA UMMA
Wakaguzi wa ndani nchini wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi, na kwa kuzingatia maadili ya kazi ili kulinda maslahi ya taifa na kuhakikisha...













