DIT YAPATA CHETI CHA KIMATAIFA CHA ISO 21001:2018 , SERIKALI YAPONGEZA .
Na Mwandishi Wetu.
SERIKALI imeeleza kuwa hatua ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kupata cheti cha kimataifa cha ISO 21001:2018 ni chachu muhimu...
VIJANA 200 KUNUFAIKA NA FURSA ZA UNENEPESHAJI WA MBUZI NA KONDOO
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Dkt. Fabian Madele, akihutubia wadau mbalimbali wa Sekta ya Mifugo, wakati wa warsha ya utambulisho...
KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA VIWANGO AFRIKA , TBS WATOA TUZO KWA WASHINDI...
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa tuzo kwa washindi 10 wa shindano la insha la viwango la mwaka 2024/2025, ikiwa ni sehemu...
WAZIRI MASAUNI, NAIBU WAZIRI KWAGILWA WASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Zainab...
SERIKALI YASISITIZA UENDELEVU WA MABORESHO YA ELIMU YA UALIMU BAADA YA MRADI WA TESP
Naibu Katibu Mkuu Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu,Prof Daniel Mushi,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa TESP na kuhitimisha mradi huo...
JAFO KUJA NA HOJA BINAFSI KUPENDEKEZA MPANGO MAALUM WA AJIRA ZA MUDA MFUPI KWA...
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa...
PROF. SHEIKH AZINDUA MAFUNZO YA SIKU TANO KWA WAKAGUZI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Uvuvi Prof. Mohammed Sheikh,akizungumza leo Aprili 8,2026 wakati akizindua mafunzo ya siku tano kwa...
PROF.MKENDA:WASHIRIKI WA NDANI NA NJE YA NCHI WAONGEZEKA TUZO YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 8, 2026 jijini Dodoma,wakati akitangaza rasmi kufanyika kwa...
WAZIRI MKUU AKAGUA MADHARA YA MOTO SOKO LA SIMU 2000, AAGIZA HATUA ZA HARAKA...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza hatua za haraka kurejesha shughuli za biashara kufuatia ajali ya moto ulioteketeza Soko la Mawasiliano (Simu 2000) lililopo...
RAIS SAMIA KUZINDUA SERA YA TAIFA YA USIMAMIZI WA MNYORORO WA UGAVI 2025
Kaimu Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma kutoka Wizara ya Fedha, Bw. Alex Haraba,akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 4,2026...













