PWANI YAPATIWA WAUGUZI 120 ILI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA WAUGUZI
MKOA wa Pwani umepatiwa Wauguzi 120 ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa kada hiyo.
Hayo yamesemwa mjini Kibaha na Katibu Tawala Mipango na Uratibu...
WANAWAKE VIONGOZI VIJANA NCHINI WATAKIWA KUENZI KISWAHILI
Wanawake Viongozi vijana kutoka Tanzania watembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda wakati walipokwenda kwenye mkutano wa Wanawake Viongozi vijana wa Afrika uliofanyika Kampala Uganda...
MCHINJITA AKOSOA SERA ZA KILIMO ZA WAZIRI BASHE
Na Ritha Jacob - Ruvuma
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Issiaka Mchinjita, ametoa wito kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, kumtafutia wakala...
MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEKUWA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MAFIA
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mafia imemuachia huru mshtakiwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Ndugu Kassim Ndumbo baada ya kukosekana ushahidi...