RC CHALAMILA: WANANCHI WA DAR ES SALAAM JITOKEZENI KUPIMA HOMA YA INI NA KUPATA...
Na Magrethy Katengu --Dar es Salaam
Wizara ya Afya kupitia Mpango wake kabambe wa kudhibiti Ukimwi magonjwa ya ngono pamoja na homa ya Ini kwa...
NEMC WAKIADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA KWA KUSHIRIKI USAFI HOSPITALI YA WILAYA YA MAFIA
Wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC Kanda ya mashariki kusini wameadhimisha siku ya mashujaa kwa kushiriki kufanya usafi...
TANESCO WAMEWASHA UMEME KISIWA CHA CHOLE WILAYANI MAFIA KWA MARA YA KWANZA
Naibu Waziri wa Elimu sayansi na teknolojia na Mbunge wa Jimbo la Mafia Omari Kipanga ameongoza wananchi wa kisiwa cha Chole kuwasha umeme baa...
NORAD YAPIGA JEKI UCHUMI WA BLUE MKINGA
Na Boniface Gideon -TANGA
Katika kuhakikisha Wananchi wananufaika na Uchumi wa 'Blue' Vikundi 25 vilivyopo katika Vijiji 5 vya Halmashauri ya Mkinga mkoani Tanga vyenye...
RC CHALAMILA: VYOMBO VYA HABARI PUNGUZENI KURIPOTI HABARI ZINAZOLETA TAHARUKI
Na Magrethy Katengu--
Dar es salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amevitaka vyombo vya habari vinavyoripoti taarifa juu ya suala la uibukaji...