KAMATI YA BUNGE YAKUBALIANA NA MIRADI YA NHC, YAMPONGEZA RAIS SAMIA
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na utekelezaji wa miradi inayosimamiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na...
SERIKALI KUWANUSURU KIUCHUMI WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA – MAJALIWA
Azindua Sera ya Taifa ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya...
WASHINDI WA ZIGO LA EURO NA HISENSE WAELEKEA UJERUMANI KUSHUHUDIA EURO CUP
Na Adery Masta.
Usiku wa June 30 , 2024 washindi wa Tiketi kuelekea Frankfurt Ujerumani kushuhudia Kombe la EURO wameanza safari rasmi , ikiwa ni Kampeni...
NGORONGORO YASISITIZA KUENDELEA KUHAMISHA WANANCHI WANAOJIANDIKISHA KUHAMA KWA HIYARI.
Na Mwandishi wetu, Arusha.
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imesema itaendelea kuelimisha, kuthaminisha na kuhamisha wananchi wanaoishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro...
WAZIRI MKUU APONGEZA UONGOZI MPYA WA TEC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatoa pongezi za dhati kwa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kupata safu mpya ya uongozi wa Rais, Makamu wa...
USIYOYAJUA KUHUSU KIBOKO WALL PUTTY , MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA UJENZI WA KISASA
.
Baadhi ya Mafundi kutoka Mbagala , Chamazi na Maeneo Jirani Jijini Dar Es Salaam katika semina iliyoandaliwa na kampuni ya Utengenezaji , Uuzaji na...
SERIKALI KUENDELEA KUWEKA MKAZO WA KUONDOA VIJANA KWENYE URAIBU WA DAWA ZA KULEVYA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama amesema Serikali inaendelea kuweka nguvu katika kuondoa vijana kwenye uraibu...
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko...
RC KANALI MTAMBI AIPONGEZA HALMASHAURI YA SERENGETI KWA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI
Na Shomari Binda-Serengeti
MKUU wa Mkoa wa Mara, Kanali Enock Mtambi, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kwa kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato ya...