Sunday, July 14, 2024
Home 2024 June 15

Daily Archives: June 15, 2024

KAGERA KUENDELEA NA MAPAMBANO  KUPUNGUZA MAAMBUKIZI DHIDI  YA  MALARIA.

0
Theophilida Felician Kagera. Mkoa Kagera ukiwa ni miongoni mwa mikoa yenye kukabiliwa na changamoto ya maambukizi ya  ugonjwa tishio wa malaria mratibu wa malaria Mkoa...

MREMBO MTAALAM WA KUBET ALIVYOPEWA TIKETI KWENDA UJERUMANI , ZIGO LA EURO CUP NA...

0
Aida Juma Mkina  Mkazi wa Dar es Salaam ( Katikati ) ambaye ni mshindi wa tiketi ( Wiki ya Tatu ) Kampeni ya ZIGO...

MIKOA YENYE VIWANGO VIKUBWA VYA UPUNGUFU WA DAMU NA UDUMAVU IANZE MPANGO WA...

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Mikoa yenye viwango vikubwa vya upungufu wa damu na udumavu ianze kutekeleza mpango wa urutubishaji wa chakula kuanzia ngazi...

RAIS DKT.MWINYI AZINDUA KIGODA CHA ABEID KARUME

0
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekitaka Kigoda cha taaluma cha...

RC KANALI MTAMBI ATOA RUHUSA KWA VIONGOZI NA WANANCHI KWENDA TABORA KUISHANGILIA BIASHARA UNITED

0
Na Shomari Binda- Bunda MKUU wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ametoa ruhusa kwa viongozi na wananchi kwenda mkoani Tabora kuishangilia timu ya Biashara...

NMB IMEELEKEZA ZAIDI YA BILIONI 20 KATIKA KUJENGA KESHO ILIYO BORA BBT

0
Shilingi tilioni 1.61 zimetolewa mikopo ndani ya miaka sita katika benki ya NMB kwa kuwezesha ufugaji wa samaki na mazao ya chakula nchini Akitoa taarifa...

“WAZEE WASIFANYIWE UKATILI ILI WASHIRIKI KUWALINDA WASICHANA” – ROBBI

0
Na Shomari Binda-Bunda JAMII imetakiwa kuacha vitendo vya kuwafanyia ukatili wa kijinsia wazee ili waweze pia kushiriki kuwalinda wasichana na watoto wa kike dhidi ya...

TADB WANUFAISHA VIJANA WAFUGAJI NCHINI WANUFAIKE KIUCHUMI

0
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria kuwakwamua wafugaji kiuchumi ambapo wametoa mikopo katika sekta ya ufugaji shilingi bilioni 25 zimetolewa katika mnyololo...

WANANCHI WAMPA TANO MBUNGE BASHUNGWA KUFANIKISHA UJENZI BARABARA YA BUGENE-KASULO-KUMUNAZI

0
Na Mathias Canal, Karagwe-Kagera Wakazi wa Kijiji Cha Nyakahanga wilayani Karagwe Mkoani Kagera wameishukuru Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 15, 2024,
Karibu Tukuhudumie..