Saturday, July 13, 2024
Home 2024 June 4

Daily Archives: June 4, 2024

KUELEKEA SIKU YA CHAKULA SALAMA DUNIANI JUNI , 07 TBS WAFUNGUKA HAYA USIYOYAJUA

0
Na Mwandishi Wetu.  Katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani, Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wananchi kuhakikisha chakula kinakuwa salama kabla ya...

TIGO WATAMBULISHA ” Energizer U652S yenye 4G ” SIMUJANJA MPYA SOKONI

0
Daniel Nnko ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Ukuzaji wa Masoko - Tigo (kushoto) akipata maelezo kuhusu simu janja ya  Energizer U652S yenye 4G kutoka kwa Afisa...

SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKATILI KWA WAZEE KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MARA

0
Na Shomari Binda-Bunda Katika kuadhimisha siku ya kupinga ukatili dhidi ya wazee kimataifa juni 15, 2024, kitaifa yatafanyika katika mkoa wa Mara ambapo kabla ya...

WAJASIRIAMALI WADOGO WAPATA ELIMU YA FEDHA SUMBAWANGA

0
Na. Eva Ngowi,  Rukwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha itaendelea kuwashauri wananchi kwa ujumla kushiriki kwa wingi katika semina zinazoendelea kutolewa kuhusiana na elimu ya...

DKT. NCHEMBA ALIOMBA BUNGE KUHIDHINISHIA WIZARA YAKE  BAJETI YA TRILIONI 44.19

0
Na Benny Mwaipaja, WF-Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuiidhinishia Wizara yake makadirio ya...

WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI

0
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe...

NSSF WAIPIGIA CHAPUO HUDUMA MPYA YA NSSF TAARIFA

0
Na Boniface Gideon -TANGA MFUKO wa Taifa wa Hifadhi za Jamii nchini (NSSF) wameshiriki maonyesho ya 11 hya Biashara na Utalii yanayoendelea kwenye viwanja vya...

WATUHUMIWA 16 WA MAKOSA YA KUBAKA NA KULAWITI MKOA WA MARA WAPEWA ADHABU

0
Na Shomari Binda-Musoma JUMLA ya watuhumiwa 16 wa makosa mbalimbali ya ubakaji na kulawiti wametiwa hatiani kwa kupewa adhabu mbalimbali ikiwemo ya kifungo cha maisha...

MTEGO ULIOMNASA HOUSE BOY

0
Jina langu ni Sam, nilioana na mke wangu kwa miaka sita iliyopita na tukazaa mtoto mmoja wa kiume ambaye alibadilisha maisha yetu kwa kiasi...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 4, 2024,
Karibu Tukuhudumie..