Sunday, July 14, 2024
Home 2024 June 11

Daily Archives: June 11, 2024

TANZANIA YASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA TENDAJI LA SHIRIKA LA UTALII DUNIANI

0
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeshiriki ufunguzi wa Mkutano wa 121 wa Baraza Tendaji la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii...

WAZIRI KAIRUKI ATETA NA WAZIRI WA UTALII WA INDONESIA NCHINI HISPANIA

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) mapema leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Utalii na Uchumi wa Jamhuri ya...

WATOTO WENYE UHITAJI WAPATIWA BASKEKI 250

0
Na Magrethy Katengu TAASISI ya Ongea na Mwanao kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wametoa Baskeli 250 kwa watoto wenye mahitaji maalumu (Walemavu) 250 ili...

TIGO NA EMPOWER LTD WAJA NA FURSA KWA VIJANA NCHINI , KUWAPA UJUZI WA...

0
Afisa Mkuu wa Tigo Business, John Scillima na Afisa Mtendaji Mkuu na Mwanzilishi Mwenza wa Empower, Miranda Naiman,wakisaini mkataba wa ushirikiano baina ya Tigo...

FORUMCIV KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA VIPATO VYAO

0
SHIRIKA lisilo la kiserikali La Forum CIV Kushirikiana Taasisi ya Kukuza Sanaa Nafasi Art Space zimefanikiwa kuwezesha wasanii kupewa mafunzo kwa kutumia sanaa zao...

JOHARI ROTANA DAR ES SALAAM: WATANZANIA TENGENI MUDA WA KUFURAHI NA FAMILIA ZENU

0
Na Boniface Gideon -ARUSHA Kampuni ya huduma za Utalii kupitia Hotel ya Johari Rotana Dar es Salaam imewataka Watanzania kutenga muda wa kufanya Utalii ili...

MENEJA ALINIFUKUZA , HAKUJUA MIMI NI HATARI

0
Naitwa Judithi kutokea Nairobi nchini Kenya, miezi sita iliyopita, nilianza safari ya mabadiliko maishani kwa kuhama kutoka kwenye kazi yangu ya zamani na kwenda...

TIMU MANGE KIMAMBI YAELEZA SABABU ZAKUJITOA,SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI, 11 2024

0
SOMA kurasa za mbele za magazeti ya leo Jumanne Juni 11, 2024. Timu ya Mange kimambi yaeleza mambo mazito yaliyowasababisha kuachana na Mange Kimambi, Kwa...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 11, 2024,
Karibu Tukuhudumie..