Sunday, July 14, 2024
Home 2024 June 6

Daily Archives: June 6, 2024

RAIS SAMIA AFANYA PANGA PANGUA YA VIONGOZI MBALIMBALI

0
Katika kuboresha utendaji kazi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali.

UNAWEZA KUTUMIA WHATSAPP BURE UKIWA NA LAINI YA TIGO , SOMA HAPA

0
 > Ili kufurahia WhatsApp BILA MALIPO, wateja wa Tigo wanatakiwa tu kununua kifurushi cha data, au muda wa maongezi cha  siku, wiki au mwezi kwa...

ADC KUTAFUTA MRITHI WA MWENYEKITI WA ADC HAMAD RASHID MFAUME

0
Na Magrethy Katengu Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo ametangaza dhamira ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama...

AKIMBIA NYUMBA  AIBU KWA KUMPA UJAUZITO MAMA MKWE

0
Katika hali ambayo haikutarajiwa, Emma Eric Wambua, mkazi wa Manyatta katika Kaunti ya Embu nchini Kenya amejikuta katika hali mbaya iliyomfanya kutoroka nyumbani kwake...

DKT. NCHIMBI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA HIMO.

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Himo Njiapanda, Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa...

WAZIRI MKUU ATAKA UWIANO SAWA WA WALIMU KATI YA MIJINI NA VIJIJINI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wafanye mapitio ya ikama zao kuangalia mlundikano wa walimu katika maeneo...

TUFUGE MIFUGO KISASA TUENDELEE KUPATA NYAMA YENYE UBORA SOKONI” RC MTAMBI”

0
Na Shomari Binda- Butiama MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Enock Mtambi amewataka wafugaji mkoani humo kuendelea kufuga kisasa ili kupata soko zuri sokoni. Hayo yamesemwa...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 6, 2024,
Karibu Tukuhudumie..