BENKI YA AKIBA YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WADAU MBALIMBALI
Benki ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia kuwafikia wananchi wengi...
RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 431.4 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA
Na Mathias Canal, Kagera
Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara wenye jumla ya kilomita 1,966.29. Kati ya hizo barabara kuu ni...
AFISA MTENDAJI KATA IWINDI NA WENZAKE WATIWA HATIANI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Afisa Mtendaji wa Kata ya Iwindi na wenzake 2 kulipa faini ya Shilingi 500,000/= kila mmoja au kwenda...
WATUMISHI 10 WA HALMASHAURI YA SENGEREMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA MAPATO
Juni 3, 2024 Watumishi 10 wa nafasi na kada mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerama wamefikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Matumizi mabaya ya...
ACT-WAZALENDO YAPINGA KAULI YA MKURUGENZI WA TUME HURU YA UCHAGUZI
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kauli ya Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Dk. Ramadhan Kailima ya kuhalalisha Ofisi ya Rais...