Sunday, July 14, 2024
Home 2024 June 23

Daily Archives: June 23, 2024

DKT.DIMWA: AAGIZA WATENDAJI NA VIONGOZI KURATIBU KERO ZA WANANCHI.

0
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar  Dkt.Mohamed Said Dimwa,amewataka Viongozi na Watendaji wa CCM kuanzia ngazi za Mashina hadi Mikoa...

CCM Z’BAR KUWASILISHA PENDEKEZO LA DK.MWINYI KUONGOZA NCHI KWA MIAKA 7

0
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amesema Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya NEC CCM Taifa Zanzibar  wamepitisha pendekezo la...

MADAKTARI BINGWA WA RAIS DKT.SAMIA KUANZA KUTOA MATIBABU MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma MADAKTARI bingwa wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan wataanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa kwenye hospital ya manispaa ya Musoma kuanzia kesho...

BARUTI NI HATARI USIHIFADHI KWENYE JOTO, MOTO UMEME AU MOTO WA GASI

0
Baruti haitakiwi kuhifadhiwa kwenye makazi ya watu kwasababu inaweza kulipuka kwa moto, joto, tayari moto wa gesi au umeme. Hayo yamesemwa na Mhandisi Mgodi wa...

QWIHAYA AWATAKA WANA CCM KUCHANGIA MAENDELEO YA CHAMA

0
Na Neema Kandoro Mwanza MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), TaifaLeonard Qwihaya amewaomba wakereketwa na wapenzi wa Chama hicho kujitolea katika kukijenga...

TAASISI ZA UMMA ZITUMIE MIFUMO YA KIDIJITALI – WAZIRI MKUU

0
*Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta mageuzi...

DAVID MATHAYO AWATAKA VIJANA KUTUMIA SOKA KWA MAENDELEO

0
Ashrack Miraji Same Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Dkt. David Mathayo amewataka vijana wilayani humo kutumia fursa ya michezo kuendeleza ushirikiano kwa ajili ya...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 23, 2024,
Karibu Tukuhudumie..