Home Kitaifa WASHINDI WA ZIGO LA EURO NA HISENSE WAELEKEA UJERUMANI KUSHUHUDIA EURO CUP

WASHINDI WA ZIGO LA EURO NA HISENSE WAELEKEA UJERUMANI KUSHUHUDIA EURO CUP

Na Adery Masta.

Usiku wa June 30 , 2024 washindi wa Tiketi kuelekea Frankfurt Ujerumani kushuhudia Kombe la EURO wameanza safari rasmi , ikiwa ni Kampeni ya ZIGO LA EURO CUP NA Hisense , iliyozinduliwa takribani mwezi mmoja uliopita ambapo Kampuni ya Mawasiliano ya TIGO, kwa kushirikiana na Parimatch na Hisense waliileta kusambaza Tabasamu kwa Wateja wao.

Akizungumza muda mchache kabla ya safari katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam Bwn. Erick Gerald kutoka PariMatch amesema

” PariMatch , Tigo na Hisense wanajivunia kuwa Makampuni ya kwanza kabisa nchini kuwawezesha Watanzania kujishindia safari iliyolipiwa kila kitu kwenda kushuhudia EURO CUP “

Bado nafasi ipo maana tunaendelea kutafuta washindi , Ili kuingia kwenye droo na kupata nafasi ya kujishindia tiketi au zawadi ya fedha taslimu TZS 1,000,000, na Vifaa vya Hisense TV na Friji unapaswa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya PariMatch kwa kutumia Tigo Pesa Super App kisha kuweka dau kwenye mechi yoyote ya mpira wa miguu . Kadiri dau zinavyowekwa, ndivyo nafasi zinavyoongezeka ya kushinda TZS 1,000,000 au tiketi ya safari na mechi yenye malipo kamili ya kwenda kutazama mechi za Kombe la Euro moja kwa moja nchini Ujerumani Bado una nafasi maana droo zinaendelea “ amesema 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!