WANAMICHEZO WA MALIASILI WAPONGEZWA KWA KUTANGAZA UTALII KWENYE MASHINDANO YA SHIMIWIÂ
Na. John Bera
Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii ambao ni wanamichezo, wamepongezwa kwa jitihada zao za kuutangaza Utalii kwenye Mashindano ya Shirikisho la...
WANANCHI 119 KUTOKA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO WAPOKELEWA NA KUKABIDHIWA MAKAZI YAO MSOMERA
Na Mwandishi wetu, HandeniTanga.
Jumla ya kaya 26 zenye watu 119 na mifugo 300 zilizokubali kuhama kwa hiari kutoka ndani ya Eneo la Hifadhi ya...
MHESHIMIWA ANNE KILANGO AZINDUA SHINA LA TAWI UVCCM KADANDO MAORE.
Na Dickson Mnzava, Same.
Mbunge wa Jimbo la Same mashariki Mkoani Kilimanjaro Anne kilango Malecela amezindua shina la umoja wa vijana UVCCM Katika kijiji cha...
KITUO CHA DHARURA ZIMAMOTO KUJENGWA SAME..
Na Ashrack Miraji Kilimanjaro
SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi ipo mbioni kuanza ujenzi wa vituo vya dharura vya zimamoto katika Wilaya...
MBUGE SHABANI SHEKIRINDI AWAONYA WANAOCHONGANISHA WANANCHI NA SERIKALI
Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga
MBUNGE wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Shabani Shekilindi ametoa onyo kwa watu ambao wanachonganisha wananchi na Serikali.
Shekilindi ametoa...
MRADI WA MAJI YA BOMBA WA KATA YA TEGERUKA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA...
Na Shomari Binda-Musoma
MRADI wa maji ya bomba kutoka ziwa victoria uliopo Kata ya Tegeruka jimbo la Musoma vijijini umeendelea kushika kasi kuweza kuukamilisha.
Kukamilika kwa...
VIONGOZI CCM MUSOMA WASHIRIKI ” JOGGING “ILIYOANDALIWA NA DC CHIKOKA
Na Shomari Binda-Musoma
VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya Musoma mjini wamekuwa miongoni mwa wananchi waliojitokeza kushiriki mazoezi ya" jogging" yaliyoandaliwa na mkuu wa Wilaya...
DC SAME AMEWAPONGEZA WAKAZI WA KATA YA MABILIONI KUMUUNGA MKONO MHE RAIS DKT SAMIA...
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni amewapongeza Wakazi wa Kitongoji cha Kiruwa kilichopo Kijiji cha Ruvu Mbuyuni Kata ya...
BAKHRESA NA EQUITY BENKI WAJA NA FURSA YA MIKOPO KWA WAFANYA BIASHARA
Na Mwandishi Wetu.
BENKI ya Equity imesema wafanyabiashara ambao wanatumia bidhaa za kampuni ya Bakhresa kwa sasa wanauwezo wa kupata MKOPO wa Bidhaa za UNGA...
DC CHIKOKA KUONGOZA “JOGGING” YA WANANCHI MUSOMA KUJENGA AFYA KESHO
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka kesho jumamosi septemba 28 ataongoza mbio za polepole" Jogging" ya kujenga afya kwa wananchi.
Mbio hizo...