Tuesday, December 10, 2024
Home 2024 October

Monthly Archives: October 2024

TENGENI BAJETI KABLA YA KUTWAA ARDHI-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taasisi yoyote ambayo inahitaji kutwa ardhi ambapo wananchi wanaishi au wanafanya shughuli mbalimbali za maendeleo lazima iwe imetenga bajeti...

TBS WATOA ELIMU KWA WANANCHI NA WAJASIRIAMALI , MAONESHO YA WIKI YA MWANAKATAVI –...

0
Afisa udhibiti ubora Kanda ya Magharibi (TBS) Bw. Hassan Hassan, akitoa elimu ya masuala ya udhibiti ubora kwa wananchi na wajasiriamali waliotembelea banda la...

TBS YAWATAKA WADAU KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA UANDAAJI VIWANGO

0
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Profesa Othman Chande Othman amesema Tanzania ipo vizuri kwenye masuala ya viwango ambapo...

PROGRAM YA STAWISHI MAISHA YAZINDULIWA RASMI MKURANGA ILI KUPAMBANA NA UTAPIAMLO

0
Programu ya Stawishi Maisha, inayosimamiwa na Serikali ya Tanzania kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa kushirikiana na UNICEF, imezinduliwa rasmi katika Kijiji...

KAMATI YA VIJANA WAZALENDO KUJADILI SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA KWA MAKONGAMANO...

0
Mikoa kumi kufikishiwa mahudhui ya sera ya taifa ya maendeleo ya vijana (2007) toleo la mwaka 2024 kwa awamu ya kwanza kupitia kamati ya...

NI DHAMIRA YA SERIKALI KULIPA FIDIA WANANCHI WANAOPISHA MIRADI YA MAENDELEO- MHE. KAPINGA

0
📌 Ataja fidia iliyolipwa kwa baadhi ya miradi ya umeme 📌 Aeleza mipango ya ujenzi wa vituo vya kujazia gesi kwenye magari (CNG) Naibu Waziri Nishati,...

MAADHIMISHO YA MIAKA 101 YA JAMHURI YA UTURUKI, TANZANIA YAJIVUNIA

0
• Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki yazidi kuimarika Na Happiness Shayo-Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema...

WALIOLETA NYUKI UWANJANI WALIWA KAMA ASALI.

0
TERMINAL FC MABINGWA WA MATHAYO CUP MANKA FC WALOA TEPETEPE DK 90. na Dickson Mnzava, Same . Timu ya vijana wa stand wilayani Same Mkoani Terminal...

UWEKEZAJI WA BILIONI 60 KULETA MAPINDUZI MAKUBWA YA HUDUMA ZA USAFIRI NDANI YA ZIWA...

0
 Na Mwandishi Wetu. Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Erasto Lugenge aliwaambia wandishi wa habari waliotembelea bandari za Bukoba na Kemondo kuwa uwekezaji huu mkubwa...

DKT. BITEKO AIPONGEZA REA UTEKELEZAJI MIRADI YA NISHATI

0
📌 Ni ya upelekaji umeme kwenye vijiji, vitongoji na Nishati Jadidifu 📌 Yawa kinara matokeo ya tathmini ya utendaji kazi kwa Taasisi za Wizara ya...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma October 2024,
Karibu Tukuhudumie..