WAHITIMU MWEKA WATAKIWA KUWA WAZALENDO KULINDA RASILIMALI ZA NCHI
Na Happiness Shayo- Kilimanjaro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Wahitimu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori MWEKA kuwa...
BIASHARA KATI YA TANZANIA NA CHINA YAFIKIA DOLA BIL. 8.78-MAJALIWA
Asema Rais Dkt. Samia anathamini mchango wa China kwenye maendeleo nchini
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China...
RAIS DKT SAMIA AKISALIMIANA NA BAADHI YA WAKUU WA NCHI WA (EAC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
MWANAFUNZI WA CHUO ASHINDA MILIONI TANO KUTOKA YAS ( ZAMANI TIGO ), KAMPENI YA...
Novemba , 29 , 2024 : Sia Martin Mlay Mwanafunzi wa Chuo Cha Ardhi - Jijini Dar Es Salaam ( katikati ) ni mmoja...
VYAMA VYA SIASA TANGA JIJI VYAPONGEZA MCHAKATO WA UCHAGUZI S/MITAA.
Na Boniface Gideon,TANGA
Vyama vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa wa Novemba 27 mwaka huu katika Halmashauri ya Jiji la Tanga,vimetoa tamko la...
ENOCK KOOLA AIPONGEZA TAMISEMI KWA USIMAMIZI MZURI WA ZOEZI LA UPIGAJI KURA NCHINI
Mwanasiasa na Mfanyabiashara Enock Koola, ambaye ni Mdau wa Maendeleo katika Jimbo la Vunjo, Mkoani Kilimanjaro, amepongeza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali...
TUME YA USHINDANI YATOA ONYO DHIDI YA MBINU CHAFU KWENYE BIASHARA
Tume ya Ushindani (FCC) imedhamiria kutoa elimu kwa Watanzania juu ya namna nzuri ya kufanya biashara pasina kudidimiza sera na taratibu za ushindani za...
WAZIRI KIKWETE: FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA NJE YA NCHI KIPAUMBELE CHA SERIKALI YA...
Na Magrethy KatenguDar es salaam
Serikali imesema itaendelea inahakikisha inaweka mikakati madhubuti ya kuwawezesha watanzania zaidi ya 1000 kupata fursa ya ajira nje ya nchi
Akizungumza...
CCM YATOA SHUKRANI USHINDI WA KISHINDO UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Na Magrethy Katengu
Dar es salaam
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewashukuru wananchi kwa kukiamini chama hicho...
MAMLAKA ZA USAFIRISHAJI MAJINI BARANI AFRIKA ZATAKIWA KUSHIRIKIANA KUBORESHA HUDUMA
📌 Dkt. Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAMA
📌 Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo
📌 IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano...