Thursday, January 23, 2025
Home 2024 November 16

Daily Archives: November 16, 2024

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UWEZESHAJI TAASISI ZA UMMA YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI...

0
Na Mwandishi Wetu. KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza...

TIGO WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE UHITAJI DAR ES SALAAM

0
Na Mwandishi Wetu. Kampuni ya Mawasiliano, TIGO Tanzania katika kuelekea kufunga mwaka, wametoa msaada wa vitu mbalimbali  kwenye kituo cha Sinza maalumu kilichopo jijini dar...

DKT BITEKO AWATAKA WAHITIMU WASIOGOPE CHANGAMOTO ZA MAISHA BAADA YA CHUO

0
📌 Awahimiza kufanya uamuzi sahihi, kujibu maswali na dukuduku walizonazo 📌 Apongeza ushirikiano wa Serikali na Sekta Binafsi katika maendeleo nchini 📌 SAUT yamshukuru Rais Dkt....

WAZIRI CHANA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAKUMBUSHO YA JIOLOJIA NGORONGORO

0
Na Saidi Lufune- Karatu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameweka jiwe la misingi la mradi wa miundombinu ya Ngorongoro...

VIJANA WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUPINGA UKATILI, WAHIMIZWA KUSHIRIKI VYEMA CHAGUZI ZIJAZO.

0
Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi Arusha. Ikiwa ni mwendelezo wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia...

RAIS SAMIA AELEKEA BLAZIL KUSHIRIKI MKUTANO WA G20

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

CCT YA LAANI CHANGAMOTO ZILIZOJITOKEZA KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imelaani vikali changamoto zilizojitokeza kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ikiwemo kuenguliwa wagombea, vikwazo katika...

MRADI WA UMEME RUSUMO KUZINDULIWA FEBRUARI 2025

0
📌 Dkt. Biteko asema umekamilika kwa asilimia 99.9 📌 Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa 📌 Asema asilimia 52 ya umeme nchini...

WAZIRI CHANA AZINDUA MIRADI YA UTALII YA MILION 904 SERENGETI

0
Na Happiness Shayo - Serengeti Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua miradi ya kuendeleza utalii ikiwemo Mradi ya Barabara...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma November 16, 2024 - Mzawa Online,
Karibu Tukuhudumie..