KIVUMBI MATHAYO CUP 2024 KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO UWANJA WA POSTA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MASHINDANO ya kombe la Mathayo Cup 2024 yanaanza kutimua vumbi kesho novemba 3 kwenye ueanja wa Posta manispaa ya Musoma.
Mathayo Cup yamekuwa...
DKT. BITEKO AHIMIZA UPENDO, AMANI NA USHIRIKIANO SENGEREMA
đź“ŚAsisitiza wananchi kushiriki Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa kwa amani
đź“Ś Asema Sengerema inahitaji maendeleo na si maneno
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri...
RAIS SAMIA AZIWEZESHA SEKTA BINAFSI KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME
đź“ŚShilingi bilioni 2 zimetolewa na REA kuendeleza mradi
đź“Ś Utunzaji wa mazingira umepewa kipaumbele kwenye utekelezaji wa miradi
đź“ŤMakete - Njombe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR AHIMIZA KUBORESHA AFYA NA MIUNDOMBINU YA SOKO LA...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Othman Masoud Othman amesema maendeleo ya Taifa yanategemea, kwa kiasi kikubwa, ustawi bora wa Jamii pamoja...
WAZIRI CHANA ATOA WITO KWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUSHIRIKIANA KULINDA MALIASILI
Na Happiness Shayo-Arusha
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushirikiana...