Friday, January 24, 2025
Home 2024 November 29

Daily Archives: November 29, 2024

MWANAFUNZI WA CHUO ASHINDA MILIONI TANO KUTOKA YAS ( ZAMANI TIGO ), KAMPENI YA...

0
Novemba , 29 , 2024 : Sia Martin Mlay Mwanafunzi wa Chuo Cha Ardhi - Jijini Dar Es Salaam ( katikati ) ni mmoja...

VYAMA VYA SIASA TANGA JIJI VYAPONGEZA MCHAKATO WA UCHAGUZI S/MITAA.

0
Na Boniface Gideon,TANGA Vyama vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa wa Novemba 27 mwaka huu katika Halmashauri ya Jiji la Tanga,vimetoa tamko la...

ENOCK KOOLA AIPONGEZA TAMISEMI KWA USIMAMIZI MZURI WA ZOEZI LA UPIGAJI KURA NCHINI

0
Mwanasiasa na Mfanyabiashara Enock Koola, ambaye ni Mdau wa Maendeleo katika Jimbo la Vunjo, Mkoani Kilimanjaro, amepongeza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali...

TUME YA USHINDANI YATOA ONYO DHIDI YA MBINU CHAFU KWENYE BIASHARA

0
Tume ya Ushindani (FCC) imedhamiria kutoa elimu kwa Watanzania juu ya namna nzuri ya kufanya biashara pasina kudidimiza sera na taratibu za ushindani za...

WAZIRI KIKWETE: FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA NJE YA NCHI KIPAUMBELE CHA SERIKALI YA...

0
Na Magrethy KatenguDar es salaam Serikali imesema itaendelea inahakikisha inaweka mikakati madhubuti ya kuwawezesha watanzania zaidi ya 1000 kupata fursa ya ajira nje ya nchi Akizungumza...

CCM YATOA SHUKRANI USHINDI WA KISHINDO UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

0
Na Magrethy Katengu Dar es salaam KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewashukuru wananchi kwa kukiamini chama hicho...

MAMLAKA ZA USAFIRISHAJI MAJINI BARANI AFRIKA ZATAKIWA KUSHIRIKIANA KUBORESHA HUDUMA

0
📌 Dkt. Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAMA 📌 Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo 📌 IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano...

SHULE ZA MSINGI 139 MBINGA KUPEWA KOMPYUTA

0
📌 Kapinga asema lengo ni kuchochea kasi ya ukuaji wa Elimu 📌 Aweka Jiwe la Msingi ujenzi wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Mbungani 📌 Asema...

TBS WATOA ELIMU YA UDHIBITI UBORA KWA WAWEKEZAJI WA ZABIBU DODOMA

0
Afisa Udhibiti Ubora Mwandamizi  (TBS) Bi. Sifa Chamgenzi, akitoa elimu ya masuala ya udhibiti ubora kwa wananchi waliotembelea banda la TBS kwenye Maonesho ya...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma November 29, 2024 - Mzawa Online,
Karibu Tukuhudumie..