WAZIRI CHANA AKUTANA NA BALOZI WA URUSI NCHINI TANZANIA
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi...
KASI YA MAENDELEO DAR ES SALAAM INACHANGIA ONGEZEKO LA MAHITAJI YA UMEME- MHE. KAPINGA
π Serikali yajikita kufanya maboresho ya miundombinu ya umeme kukidhi mahitaji
π Kituo umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; chafungwa Transfoma za MVA 175
π Zanzibar kunufaika na...
TUJENGE MAZOEA YA KUTEKELEZA YALE TULIYOKUBALIANA – DKT. BITEKO
π Asema haiwezekani kutenga bajeti ya michezo kisha kuitumia vinginevyo
π Amtaka Msajili wa Hazina kushiriki ufungaji bila kuwakilishwa
π Shimmuta yashukuru kwa ushirikiano wa Serikali...
RC SERUKAMBA AIUNGA MKONO REA UGAWAJI MITUNGI YA GESI 9800 IRINGA
πREA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa...
WANANCHI KIJIJI CHA NYASAUNGU KUANZA KUPATA HUDUMA ZA AFYA KWENYE ZAHANATI DISEMBA 2024
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kijiji cha Nyasaungu chenye vitongoji 5 kilichopo jimbo la Musoma vijijini wataanza kupata huduma za afya kwenye zahanati yao ifikapo...
AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YATOA MSAADA KWA WAOKOZI GOROFA LILILOPOROMOKA KARIAKOO
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Akiba Commercial Bank imeendelea kujitoa si tu kuhudumia wateja wake bali pia kushiriki katika juhudi za kijamii wakati wa dharura...