WIZARA YA MALIASILI YAZIDI KUWA TISHIO KWENYE MICHEZO YA KIRAFIKI KUELEKEA SHIMIWI 2024
Na. John Bera - Dodoma.Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi kwenye michezo mitatu ya kirafiki iliyochezwa leo kwenye Viwanja vya Vijana vilivyopo Jijini...