ACHENI KUVAMIA MAENEO YA HIFADHI – RAIS SAMIA
Na Happiness Shayo - Katavi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuacha kuvunja sheria kwa kuvamia maeneo...
WANANCHI WAHIMIZWA KUNUNUA SIMU ZA TECNO
KATIBU Tawala wilaya ya Nyamagana Thomas Salala amezindua duka jipya la simu aina ya Tecno huku akitoa wito kwa watumiaji wa vitendea kazi hivyo...
KLABU ZA ROTARY NCHINI ZA PANDA MITI 1000 KUADHIMISHA MIAKA 100 YA ROTARY
KATIKA Kuadhimisha Miaka 100 ya Klabu za Rotary Duniani, Klabu za Rotary Tanzania zimesherehekea miaka hiyo kwa kupanda Miti ya Matunda Shule ya Msingi...
KIBOKO WALL PUTTY YAWAVUTIA MAFUNDI IFAKARA , WAPONGEZA MABORESHO RANGI ZA KIBOKO
Mmoja wa mafundi akiijaribu kwa kuipaka ubaoni KIBOKO WALL PUTTY mbele ya mafundi wenzake ili kushuhudia ubora na upekee wake
PICHA YA PAMOJA : Baadhi...
DKT. AYUBU RIOBA: VYOMBO VYA HABARI VYA AFRIKA SHIRIKIANENI NA KUBADILISHANA MAUDHUI
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkkt. Ayubu Rioba Chacha amevishauri vyombo vya habari vya Afrika kushirikiana...
USIPITWE NA NEEMA ZA KAMPENI YA ZIGO LA EURO CUP NA HISENSE , SOMA...
PICHA TOFAUTI TOFAUTI : Baadhi ya Washindi wa TV na Friji , Kampeni ya ZIGO la EURO CUP na Hisense ( wiki ya saba ) wakikabidhiwa zawadi...