DKT.BITEKO ASISITIZA UTEKELEZAJI MAKUBALIANO KATI YA TANZANIA NA BURUNDI KUHUSU SEKTA YA MADINI
Waziri wa Madini nchini Dkt. Doto Biteko amesisitiza kuhusu utekelezaji wa Mkataba wa Makubaliano baina ya nchi ya Tanzania na Burundi katika kubadilishana ujuzi...
SHAMRASHAMRA KUPATIKANA MISTER NA MISS KIZIWI WA DUNIA
Na Magrethy Katengu
Mashindano ya Dunia ya Mister and Miss Kiziwi yanatarajia kufanyika oktoba 29 2022 katika ukumbi wa mikutano wa Kimatataifa( NJICC) na mgeni...
NAIBU KATIBU MKUU JUMA MKOMI ATOA WITO KWA WABUNGE KULINDA RASILIMALI ZA MALIKALE.
Naibu Katibu wa Maliasili na Utalii, Juma S. Mkomi ametoa wito kwa Wabunge kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii katika kuyalinda na kuyatunza...
KOREA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA UJENZI CHUO CHA TEHAMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Korea imekubali kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan katika ujenzi wa chuo cha...
SERIKALI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WADAU KATIKA USIMAMIZI WA MAAFA
NA.MWADISHI WETU
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Menejimeti ya Maafa imeeleza itaendelea kuimarisha ushirikiano na wadau wa masuala ya maafa nchini ili...
WATAALAMU WATAKIWA KUTEKELEZA SERA YA MAZINGIRA
******** PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS ********
Serikali imewataka wataalamu kutoka wizara za kisekta kutekeleza Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021...
WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA CHANGAMOTO YA HUDUMA DAR
Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa la inch 72 katika kata ya Wazo, Jijini Dar es...
KOREA YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 310
Serikali ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa shilingi bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa...
WASHIRIKI WA MISS & MR VIZIWI WAANZA MCHAKATO WA MCHUJO
Na. Khadija Seif
Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa shindano la dunia la utanashati,urembo na mitindo kwa viziwi mshiriki wa Tanzania aeleza maandalizi yake ya...
NGUMI ZIPO MABIBO NA MAZENSE, TEMEKE WABAKI NA UKONGWE
Bondia wa Ngumi za Kulipwa Jackson Malinyingi amemjibu Mpinzani wake Peter Toshi wa Temeke akiahidi kumpiga kama Begi kwenye Pambano la Dar Boxing Derby litakalopigwa...













