Home Kitaifa MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NA VIFAA TIBA NCHINI...

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NA VIFAA TIBA NCHINI KOREA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba ( Medical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie (wa pili kulia) kuhusu vifaa tiba vinavyotengenezwa kituoni hapo. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea, Oktoba 26, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie kuhusu utengenezaji wa vifaa tiba kituoni hapo. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea, Oktoba26, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie kuhusu utengenezaji wa dawa katika kituo hicho wakati alipokitembelea kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea, Oktoba26, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kituo cha Kutengeneza Dawa za Binadamu na Vifaa Tiba (KBIOHEALTH na Medical Device Development Centre)baada ya kutembelea kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo, Oktoba 26, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!