WANANCHI WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI ZA KUJIKINGA DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA
Na. WAF, Dodoma
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewaasa wananchi kuchukua tahadhari za kujikinga dhidi ya Ugonjwa wa Ebola ambao umeripotiwa kutokea katika...
WAWEKEZAJI KUTOKA NCHI ZA AFRIKA WATAKIWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA
Wawekezaji kutoka nchi za Afrika wametakiwa kuja kuwekeza nchini Tanzania na kuzalisha bidhaa mbalimbali ili kuongeza uchumi wa viwanda ambao ndiyo sera na msingi...
MATUKIO YA PANYA ROAD , KAMATI YA AMANI MKOA WA DAR ES SALAAM YATOA...
Na Magreth Mbinga
Ikiwa ni muendelezo wa maadhimisho ya Amani duniani Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es salaam inayoongozwa na Sheikh Mkuu wa...
ENG. VICTOR AHIMIZA UJENZI WA MADARAJA YA TEKNOLOJIA YA MAWE NA MATOFALI YA KUCHOMA
Na Mwandishi Wetu
Wakala wa Barabara Za Vijijini na Mijini (Tarura) Umesema kuwa bado Kuna uelewa mdogo wa Wananchi na Baadhi ya Viongozi juu ya...
MBARAWA AITAKA DIT KUPUNGUZA GHARAMA MFUMO WA GESI KWA MAGARI
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Makame Mbarawa ameitaka Tasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Kuangalia namna itakavyo leta unafuu katika mradi wa...
MITAA ISIYO NA UMEME HANDENI KUPATA HUDUMA HIYO IFIKAPO DESEMBA 2022
Imeelezwa kuwa, Mitaa 28 ambayo bado haina umeme katika Jimbo la Handeni mjini ipo katika mpango wa kupatiwa umeme kupitia mradi wa umeme vijijini...
DKT.MWINYI ATAKA MABALOZI KUTANGAZA FURSA ZILIZOPO NCHINI.
Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt Hussein Mwinyi amewataka Mabalozi walioteuliwa hivi karibu kuiwakilisha Tanzania katika Nchi za...
HAKIELIMU YATOA MATOKEO YA UTAFITI MCHANGO WA ELIMU YA URAIA SHULE ZA SEKONDARI
Na Magreth Mbinga
Taasisi ya hakielimu imebaini kuwepo kwa changamoto kubwa katika mtaala wa somo la uraia katika shule za sekondari ambao kwa kiwango kikubwa...
GEKUL AWAPA MABALOZI MKAKATI WA KUBIDHAISHA KISWAHILI
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amekutana na Mabalozi watatu wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Zambia, Zimbabwe na Uholanzi ikiwa...












