KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YASHAURI MAABARA KUU YA TAIFA YA AFYA YA JAMII...
Na Englibert Kayombo WAF - Dar Es Salaam.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeishauri Serikali kutoa kipaumbele kwa Maabara...
UJENZI WA MADARAJA YA MAWE KUWANUFAISHA WANANCHI HAI
Ujenzi wa madaraja ya upinde wa mawe (stone arch bridges) ya Mkalama–kikavuchini, Ngira na Kisereni unaotekelezwa katika wilaya ya Hai, unatarajiwa kuondoa kero ya...
TARURA SIHA WAAGIZWA KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA SANYA JUU
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewaagiza meneja wa TARURA Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na meneja wa...
BARABARA ZA TARURA ZALETA SHANGWE HAI WANANACHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA
Ujenzi wa barabara za Makoa Darajani-Mferejini (7.3 KM) na Kwasadala -Longoi (6.0 KM) kwa kiwango cha changalawe umeleta faraja na furaha kubwa kwa wananchi...
WAZIRI BASHUNGWA: MABASI 177 MAPYA YA MWENDOKASI YANANUNULIWA
Na, OR -TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za...
RATIBA YA KUFUNGULIWA SHULE IPO PALE HAKUNA MAELEKEZO MENGINE-WAZIRI MKENDA
Na Mathias Canal, WEST-Pemba, Zanzibar
Serikali imekanusha taarifa za uzushi zilizotolewa kuhusu tarehe ya shule kufunguliwa iliyotolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na nia njema...
NHC KUENDELEZA MIRADI YAKE ILI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA
Na Magrethy Katengu
Shirika la Nyumba la Taifa NHC limesema kwamba hivi karibuni litaanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba unaojulikana kama Samia Housing Scheme...
JEDWALI LA UCHAMBUZI WA SHERIA NDOGO LAKABIDHIWA KWA WAZIRI SIMBACHAWENE
Na Mwandishi wetu Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe.George Simbachawene amepokea Jedwali la Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa katika Mkutano wa...











