Home Kitaifa MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI KONGAMANO LA WANAWAKE NA VIJANA WA ENEO HURU...

MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI KONGAMANO LA WANAWAKE NA VIJANA WA ENEO HURU LA BIASHARA LA AFRIKA(AfCFTA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Bidhaa katika mabanda mbalimbali ya Maonesho kabla ya kuhutubia viongozi mbalimbali wa Ndani na Nje ya Nchi kwenye Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam tarehe 12 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali wa Ndani na Nje ya Nchi kwenye Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam tarehe 12 Septemba, 2022.

Previous articleWAZIRI MCHENGERWA AJIUNGA RASMI NA KLABU YA JESHI LUGALO GOFU
Next articleWANAWAKE LAKI MOJA WAJA NA FURSA YA UTALII KWA WANAWAKE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here