Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September

Monthly Archives: September 2022

DKT.KIRUSWA AWATAKA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI KWENDA KUJIFUNZA NZEGA

0
Na Asteria Muhozya – NZEGA Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka Wachimbaji Wadogo wa Madini nchini kujifunza kutoka kwa wachimbaji wa Wilaya ya...

WATU LAKI 3 KUFIKIWA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

0
Na Magreth Mbinga Taasisi inayoshughulika na kutoa mitaji kwa wawekezaji binafsi ya aecf imetenga Dola za Marekani Milioni 3.7 kwaajili ya kuwawezesha wajasiliamali binafsi kuweza...

TANZANIA-ITALIA KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

0
Ubalozi wa Italia kushirikiana na ubalozi wa Tanzania umeandaa kongamano la kibiashara ( ITALY- TANZANIA BUSINESS AND INVESTMENT FORUM ) lenye lengo la uwekezaji...

WAKAZI WA KIJIJI CHA NYAMAKOBITI WILAYA YA SERENGETI WATUMA SALAMU KWA IGP WAMBURA

0
Leo Septemba 29, 2022 Wakazi wa Kijiji cha Nyamakobiti kilichopo Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara wametuma salamu za Pongezi na Ahsante kwa IGP Wambura...

WATHIBITI UBORA NI MBONI YA SERIKALI KWENYE UBORA WA ELIMU-WAZIRI MKENDA

0
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Serikali imesema kuwa wathibiti ubora wa elimu ni mboni ya serikali katika kusimamia na kuimarisha ubora wa elimu nchini. Waziri wa Elimu,...

TANZANIA KUNUFAIKA NA DOLA MILIONI 100 ZA MFUKO WA UWEKEZAJI KUTOKA JAPAN

0
Ni za kukuza uchumi, ziliahidiwa katika Mkutano wa TICAD 8, Tunisia TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Afrika zitakazonufaika na fedha za Mfuko wa Kukuza...

HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA YAPITIA HESABU ZA MWAKA

0
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Mhe. Abdulrahman Shiloow leo alhamisi Septemba 29, 2022 ameongoza mkutano maalum wa Baraza la Madiwani wa...

RC MGUMBA AWATAKA WAHITIMU JKT KUJIEPUSHA NA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO YA KIJAMII.

0
NA BONIFACE GIDEON,HANDENI MKUU wa Mkoa wa Tanga Omari Mgumba amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa Nchini Operesheni Venancy Mabeyo 2022 wanaokwenda...

RC MGUMBA AWATAKA WAHITIMU JKT KUJIEPUSHA NA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO YA KIJAMII.

0
Na. BONIFACE GIDEON, HANDENI Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omari Mgumba amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa Nchini Operesheni Venancy Mabeyo 2022...

MHE. KIJAJI AMEWASHAURI WADAU WA SEKTA YA NGUO KUAINISHA CHANGAMOTO ZAO

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe  Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.)  amewashauri wadau wa sekta ya nguo kuainisha changamoto za kisera, kikodi na kiutendaji...