Home Michezo KLABU YA YANGA YAUNDA KAMATI MAALUMU YA MASHINDANO

KLABU YA YANGA YAUNDA KAMATI MAALUMU YA MASHINDANO

Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji wameunda Kamati maalum ya mashindano ya watu 8 ambayo itaongozwa na Mwenyekiti Ndugu Rodgers Gumbo.

Wajumbe wa kamati hiyo ni;-

  1. Mustapha Himba
  2. Lucas Mashauri,
  3. Seif Ahmed,
  4. Pelegrinus Rutayuga,
  5. Davis Mosha na
  6. Majid Sulleiman

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!