STAMICO YAJA NA SULUHISHO LA MATUMIZI YA MKAA MBADALA UNAOZALISHWA NA MAKAA YA MAWE
Na Magrethy Katengu
Shirika la Madini Taifa (STAMICO) limesema litahakikisha linaongeza juhudi kukabiliana changamoto ya mabadiliko ya Tabia nchi inayosababishwa na shughuli za kibinadamu ikiwemo...
NAIBU KATIBU MKUU MPANJU AIOMBA SIMBA KUTOA ELIMU KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI KWA...
Na WMJJWM, Dar Es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon Mpanju ameiomba Klabu ya Mpira inayoshiriki...
AWESO AJIRIDHISHA UTOSHEVU WA MAJI BWAWA LA MTERA.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) mapema leo amefika katika Bwawa la Maji la Mtera na kujiridhisha na kiwango cha maji kilichopo katika...
SASA RASMI KARATU BEI YA MAJI NI SH,1,300 KWA UNIT MOJA.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ametatua mgogoro uliodumu kwa muda mrefu wilayani Karatu baada kuagiza bei ya maji iwe shs 1,300 kwa...
TANZANIA KUJIFUNZA UENDESHAJI MIRADI YA MAJI KWA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ameambata na wataalam wa Wizara ya Maji, RUWASA, Wizara ya Fedha na Mipango, OR-TAMISEMI na...
SH. MILIONI 100 KUSHINDANIWA CRDB BANK MARATHON
Ikiwa zimebaki siku 12 kuelekea msimu wa tatu wa CRDB Bank Marathon tarehe 14 Agosti 2022, imeelezwa kuwa jumla ya zawadi za shilingi milioni...
MAJALIWA: FUATENI NA SIMAMIENI FALSAFA YA RAIS SAMIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka washiriki wa kozi fupi ya 13 ya viongozi watambue, wafuate na waisimamie falsafa ya Serikali ya awamu ya sita...










