WATENDAJI WA SENSA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII
Na mwandishi wetu
Watendaji wa Sensa wapewa wito kufanya kazi kwa bidii ili kuweza kukamilisha kwa ufanisi zoezi la Sensa ya watu na Makazi inayotarajiwa...
BWAWA LA MAJI LA KWENKAMBALA WILAYANI HANDENI KUBORESHWA
Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amekabidhi hundi za thamani ya shilingi milioni 60.6 kwa wananchi waliopisha maeneo kwa ajili ya...
AZAKI KUHAMASISHA USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KATIKA MAENDELEO YA TAIFA
Na Magrethy Katengu
TAASISI za sekta binafsi zimetakiwa kushirikiana kwa karibu na Asasi za Kiraia (AZAKI,) Ili kusaidia kutatua changamoto zinazoikabili Jamii kwa kuwafikia wananchi...
SERIKALI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA WADAU FURSA ZA KIDIGITALI
Na Mwandishi wetu, MzawaOnline
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa Sekta binafsi katika kukabiliana na tatizo la ajira nchini Tanzania ikiwemo kuwajengea uwezo na...







