Saturday, June 27, 2026
Home 2022 August 26

Daily Archives: August 26, 2022

TARURA YASHAURIWA KUACHA UJENZI WA BARABARA ZA UZITO WA TANI KUMI

0
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wametakiwa kuachana na ujenzi wa barabara za kiwango cha lami zenye uwezo wa kubeba magari yenye...

WAGANGA WA TIBA ASILI/MBADALA WAHIMIZWA KUJISAJILI KATIKA BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA.

0
Na. Waf. Morogoro Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye amewahimiza waganga wa Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kuzisajili dawa na vituo...

BARAZA MAALUMU MANISPAA YA UBUNGO LIMEMFUKUZA MTUMISHI MMOJA WA IDARA YA UHASIBU

0
Baraza maalumu la manispaa ya ubungo limemfukuza mtumishi mmoja wa idara ya uhasibu Edga Msuya kwa makosa aliyoyatenda. Hayo yamesemwa kwenye kikao maalumu kilichofanyika luguruni...

ONYESHO LA PHARMATECH EAST AFRIKA KUKUTANISHA MAKAMPUNI 100 YA DAWA NA VIFAA TIBA DAR

0
Na Andrew Chale, Dar es Salaam. MAKAMPUNI 100 kutoka nchi mbalimbali  duniani, yanatarajiwa kushiriki katika  maonyesho makubwa ya famasia yanayofahamika kama  ‘Pharmatech  East Africa’ yatakayofanyika...

WAZIRI MKUU AWASILI TUNISIA KUHUDHURIA MKUTANO WA TICAD

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili Tunisia leo (Ijumaa Agosti 26, 2022) na kupokelewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. Najla Bouden Romdhane katika...

NSSF YAFADHILI MFUMO WA TAARIFA ZA DIASPORA

0
Na Magrethy Katengu Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wameingia makubaliano kufadhili...

MADIWANI MANISPAA YA BUKOBA WAILALAMIKIA TFS KWA KUWAKAMATA WAJASIRIAMALI.

0
Na Lilian LugakingiraBUKOBA. Madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wamemlalamikia Wakala wa Mistu Tanzania -TFS- kwa kuwakamata wajasiriamali wadogo wanaouza mkaa ndani...