SIMU YA TECNO SPARK 9 YAZINDULIWA RASMI
Dar es Salaam, Agosti 16, 2022.
Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali nchini , Tigo Tanzania imeshirikiana na Kampuni ya simu za mkononi TECNO kuzindua...
PROF.NDALICHAKO MGENI RASMI TUZO ZA VIJANA CHIPUKIZI ZA TEYA-AGOSTI 27
Na Andrew Chale,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Prof Joyce Ndalichako (MB) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi...
MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AZINDUA RASMI USAJILI WA MBOLEA ZA RUZUKU KWA WAKULIMA
Na Mwandishi Wetu, Kalambo.
MKUU wa Wilaya ya Kalambo, iliyopo Mkoani Rukwa, Mhe. Tano Mwera amezindua rasmi usajili wa mbolea za ruzuku huku akiwataka Wakulima...
WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI WAHAKIKISHIWA USALAMA
Na Boniface Gideon, MKINGA
Wananchi wa Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga wamehakikishiwa Usalama wao nakwamba wasiwe na hofu kutokana na kuishi mpakani na Nchi jirani.
Akizungumza...
PROF.NDALICHAKO AKAGUA UZALISHAJI WA CHAI KWENYE KIWANDA CHA MPONDE-LUSHOTO
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe. Profesa Joyce Ndalichako ametembelea kiwanda cha Chai Mponde kilichoko...
TAWI LA CHUO KIKUU CHA MISRI KUANZISHWA TANZANIA- WAZIRI MKENDA
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma
Chuo Kikuu cha Misri kimebainisha kusudio la kuanzisha tawi lake nchini Tanzania kwa ajili ya kuanza kutoa elimu katika fani mbalimbali.
Waziri...
NAIBU WAZIRI AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI SAME-MWANGA-KOROGWE.
Viongozi na wadau wa maendeleo mkoani Kilimanjaro wameipongeza serikali kwa jitihada za dhati katika kuhakikisha mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe unakamilika, pongezi hizo zimetolewa...










