WFP YAKABIDHI VIFAA VYA MAWASILIANO KWA OFISI YA WAZIRI MKUU.
Na Mwandishi wetu-Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu ) Mhe. Ummy Nderiananga amepokea vifaa vya mawasiliano vitakavyotumika katika kukabiliana na...
TANZANIA KUENDELEA KUDHIBITI MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE
Na. WAF - Dar es Salaam
Wizara ya Afya imeendelea na mpango mkakati wa kusambaza kingatiba kwa wananchi wote ili kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele...
WAGONJWA 1500 WAFANYIWA UPASUAJI NA MADAKTARI BINGWA WA MOI MKOANI LINDI
Na Mwandishi Wetu,
Wagonjwa zaidi ya 1,500 wamefanyiwa upasuaji na madaktari bingwa wa MOI katika hospitali ya Nyangao Mkoani Lindi katika kipindi cha miaka mitatu...
DC KALAMBO AHIMIZA WANANCHI KUTOA TAARIFA SAHIHI KWENYE ZOEZI LA SENSA
Na Mwandishi Wetu, Kalambo.
Mkuu wa Wilaya ya Kalambo iliyopo Mkoani Rukwa, Mhe Tano Mwera ameshiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi huku akitaka...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU KUKABILI MAAFA.
Na Mwandishi wetu- Dodoma
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika mapambano dhidi ya maafa ambayo hujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini na kusababisha...
WAZIRI BASHUNGWA ATETA NA CHALAMILA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu...









