MBUNGE WA JIMBO LA KINONDONI MHE. TARIMBA ABBAS AMETOA KADI ZA BIMA KWA WENYEVITI...
Mbunge wa Jimbo la kinondoni Mhe. Tarimba Gulam Abbas ametoa kadi za bima kwa wenyeviti wa mashina zitakazoweza kuwasaidia katika matibabu hadi pale atakapoachia...




