Saturday, June 27, 2026
Home 2022 August 24

Daily Archives: August 24, 2022

WADAU WACHANGIA SH. BILIONI 1.26 KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

0
WADAU wa michezo nchini wamechanga jumla ya sh. bilioni 1.26 ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuzisaidia timu za Serengeti...

FRANCIS MASANJA CHICHI AMEWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUMUUNGA MKONO MHE RAIS SAMIA

0
Diwani mstaafu wa Kata ya Somangira Mhe. Francis Masanja Chichi amewataka wananchi kuendelea kumuunga mkono Mhe Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya. ameyasema hayo kwenye...

SIKU MOJA TU, TAKRIBANI 17.13% YA KAYA NCHI NZIMA ZIMESHAHESABIWA

0
Na Magrethy Katengu Takribani asilimia 17.13 ya kaya tayari zimeshahesabiwa siku ya Agosti 23 ambapo zoezi hilo linaendelea vizuri huku likivuka lengo ambalo llilowekwa la...

RC MAKALLA: MSAKO WA MIFUKO YA PLASTIKI KUANZA JUMATATU YA AUGUST 29.

0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza operesheni ya kukamata Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuanza rasmi Jumatatu ya August 29...

AFISA MIPANGO MIJI MBARONI KWA KUDAIWA KUMBAKA MTOTO

0
Na Neema Hussein, KATAVI Jeshi la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Mpimbwe Dickson Mwenda (37) kwa tuhuma za kudaiwa kumbaka...