ELIMU ZAIDI ITOLEWE KUHUSU SARATANI SHINGO YA KIZAZI – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za umma na za binafsi zishirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya...
WAZIRI MKENDA AUNDA TUME KUCHUNGUZA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI ELIMU YA JUU
Na Mathias Canal, WEST
Wakati dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 likiwa wazi kwa muda wa siku 70 kuanzia Julai 19...
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM, KWENDA NA VIPAUMBELE NANE,...
Na MJJWM, DA ES SALAAM Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema katika Bajeti ya 2022/23,...
PROF. KITILA MKUMBO AWAHAKIKISHIA WANANCHI UBUNGO KUKINGWA NA MAFURIKO KWA AWAMU
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amewahakikishia wakazi wa Kata ya Mburahati ambao makazi yao yamekuwa yakikumbwa na mafuriko kuwa Serikali inaendelea...
MHE.MAKAMBA AUPATIA UFUMBUZI MGAO WA UMEME KATIKA VIJIJI 20 LUDEWA.
Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba ametoa ufumbuzi wa changamoto ya miaka mingi ya mgao wa umeme wa masaa 12 kwa vijiji 20 katika Wilaya...
RAIS MWINYI ATUNUKU VYETI, BEJI NA TUZO ZA TAALUMA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwatunuku Vyeti, Beji na Tuzo za Taaluma katika Sherehe za wahitimu...
TUMEAMUA KUTEKELEZA MRADI MKUBWA WA UMEME WA RUMAKALI – MAKAMBA.
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imeamua kutekeleza mradi wa umeme wa maji ya Rumakali (MW 222) wenye thamani ya shilingi...
DC MURO AINGILIA KATI MGOGORO WA ARDHI HEKARI 3,000 VIJIJI VYA ULYAMPITI NA MWAU
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro pamoja na wataalamu wa ardhi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri leo tarehe 29/07/2022 wamelazimika kukutana...













