WATU WANNE WANUSURIKA KUFA KWA MLIPUKO WA SIMU.
Na Mwandishi Wetu
Watu wanne wamenusuriko kifo mara baada ya bajaji namba MC 567 CJK aina ya TVS iliyokuwa ikitoka maeneo ya stendi kuu ya...
WAKURUGENZI ENDELEENI KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYABIASHARA WADOGO-MHE. BASHUNGWA.
OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuendelea kuboresha...
SERIKALI YA ZANZIBAR KUJENGA MADARASA MENGI ZAIDI, KUONGEZA UFANISI KATIKA UFUNDISHAJI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema tumekusudia kuendelea kujenga madarasa ili kupunguza idadi ya wanafunzi kwa...
RAIS SAMIA MGENI RASMI SIKU YA MASHUJAA –MAJALIWA ASEMA AMERIDHISHWA NA MAANDALIZI.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya Mashujaa, yatakayofanyika kitaifa Julai 25,...
SERIKALI YASHUGHULIKIA HOJA NA MALALAMIKO YALIYOWASILISHWA NA WAFANYAKAZI MADEREVA NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI.
SERIKALI imetoa maelekezo ya kisheria (Compliance Order) ili kuwataka waajiri kote nchini kutoa Mikataba kwa wafanyakazi madereva.
Maelekezo hayo ya serikali yametangazwa jijini Dar es...
RAIS MUSEVENI WA UGANDA NA RAIS NDAYISHIMIYE WA BURUNDI WAONDOKA NCHINI//WAZIRI MKENDA AWAAGA
Na Mathias Canal, Kilimanjaro
Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Rais wa Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye leo tarehe 23 Julai 2022 kwa...
MKUU WA MKOA WA TABORA AFUNGUA KIKAO, KUJADILI TAKWIMU ZA UKIMWI NA UVIKO-19
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian tarehe 22.07.2022 amefungua kikao cha robo mwaka cha kujadili takwimu za UKIMWI na chanjo...
DKT. BITEKO AITAKA JAMII INAYOZUNGUKA MIGODI KUWA NA MAHUSIANO BORA NA WAWEKEZAJI.
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amezitaka jamii zinazonguka maeneo ya migodi kutangaza mazuri yanayofanywa na wawekezaji katika Sekta ya Madini ili kuwatia moyo...
SERIKALI IMEKUJA NA MAJIBU YA MALALAMIKO YALOYOWASILISHWA NA MADEREVA PAMOJA NA VYAMA VYA WAFANYAKAZI
Na Magreth Mbinga
Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi ,Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu yenye dhamana ya ajira na kazi imefanyia kazi hoja ambazo zilitolewa...
DKT. MPANGO AAGIZA MRADI WA MAJI WA MAJIMOTO UKAMILISHWE HARAKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kusimamia mradi wa maji wa Majimoto ulioko...













