Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July 8

Daily Archives: July 8, 2022

MHE. SIMBACHAWENE, AHIMIZA WANANCHI WA KIBAKWE KUSHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ametoa rai kwa wananchi kujiandaa kwa zoezi la sensa ya...

TAASISI BINAFSI ZAOMBWA KUENDELEA KUUNGA MKONO SEKTA YA AFYA

0
Na Magrethy Katengu Mstahiki Meya wa Jiji Dar es salaam Omary Kumbilamoto ameomba taasisi binafsi kuunga mkono Serikali kwa juhudu zao za kuendelea kusogeza huduma...

MHE. GEKUL AZINDUA KAMATI YA KUTATUA HAKI ZA WASANII

0
Na John Mapepele. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaaa na michezo. Mhe Pauline Gekul leo Julai 8,2022 amezindua Kamati maalum ya kuratibu mjadala wa namna bora...

WAZIRI MKUU AKABIDHI MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI RUANGWA

0
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo Julai 08, 2022 amekabidhi mikopo yenye jumla ya shilingi, 256,158,000 iliyotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa katika...

NAIBU KATIBU MKUU MMUYA: WANANCHI WAYAFURAHIA MAISHA MAPYA YA MSOMERA

0
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Bw. Kaspar Mmuya amewashukuru wananchi waliohamia katika Kijiji cha Msomera...

VIWANJA SITA VYA MICHEZO VYATENGEWA BAJETI

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa, amevitaka vilabu vya michezo kufanya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kujenga miundombinu ili kuinua michezo. Mchengerwa ametoa...