Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July 20

Daily Archives: July 20, 2022

WAZIRI MKENDA AMPOKEA WAZIRI WA MAMBO YA RAIS WA SUDANI KUSINI DKT BARNABA MARIEL

0
Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) Leo tarehe 20 Julai 2022 amempokea Waziri wa Mambo ya Rais wa Sudani...

TANZANIA KUWA KITOVU CHA BIASHARA YA MADINI: WAZIRI BITEKO

0
SERIKALI imepanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya madini kwa kuvutia wawekezaji wengi duniani kuja kuwekeza katika sekta hiyo na kufungua fursa nyingi...

YUHOMA EDUCATION LIMITED INATOA USHAURI KUENDANA NA SOKO LA AJIRA

0
Na Magreth Mbinga Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya YUHOMA EDUCATION LIMITED Yusuph Yahaya ambayo inashughulika na utoaji wa ushauri wa elimu kwa wanafunzi wasome nini,wasome...

#SensaBika: MASTAA WA SOKA, MUZIKI, FILAMU KUMUUNGA MKONO MAMA SAMIA NA SENSA

0
Na Mwandishi Wetu Waziri wa wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amezindia Programu Kabambe ya Wizara hiyo kutumia wadau wake wa Utamaduni, Sanaa...

WAZIRI MKENDA ATEMBELEA HOSPITALI YA HURUMA-ROMBO//AWAHAKIKISHIA UPATIKANAJI VIFAA TIBA

0
Na Mathias Canal, Rombo Mbunge wa Jimbo la Rombo ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda tarehe 20 Julai...

MHE.AWESO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA EXIM BANK YA INDIA.

0
New Delhi, India* Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kuzungumza na Ms. Harsha Bangari, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya India Kikao...

VIJANA MNAONENDA KUSOMA NJE YA NCHI MTUMIE FURSA YA KURUDI NA WAWEKEZAJI SIO VYETI...

0
Na Magrethy Katengu Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Kampuni Global Education Link Abdumalik Mollel amewashauri Wanafunzi wanaoenda kusoma nje ya nchi wahakikishe wanatumia fursa hiyo vizuri...