Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July 29

Daily Archives: July 29, 2022

DC MURO AINGILIA KATI MGOGORO WA ARDHI HEKARI 3,000 VIJIJI VYA ULYAMPITI NA MWAU

0
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro pamoja na wataalamu wa ardhi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri leo tarehe 29/07/2022 wamelazimika kukutana...

KINANA: SEKTA BINAFSI INAANZA NA WANANCHI WA KAWAIDA

0
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amewataka viongozi na watendaji wa serikali kuhakikisha wanarahisisha ufanyaji wa shughuli za wananchi kwa...

MAJALIWA: TUNATHAMINI MCHANGO UNAOTOLEWA NA WAHANDISI WANAWAKE  

0
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inatambua mchango mkubwa unaotolewa na wahandisi wanawake...

Waziri Ummy; Mpaka Sasa Hakuna Mgonjwa wa Homa ya Mgunda

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa mpaka sasa hakuna mgonjwa wa homa ya Mgunda (LEPTOS) aliyelazwa katika kituo chochote cha afya,...

SHAKA AMUMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA

0
Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana...

WATANZANIA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUHESABIWA AGOSTI 23

0
Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti Taifa wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Paul Kimiti ametoa rai kwa watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la sensa...

SERIKALI YATAMBUA MCHANGO WA WANAWAKE SEKTA YA UVUVI.

0
Na Mwandishi wetu- Kigoma Serikali imesema wanawake wamekuwa na mchango mkubwa katika kusimamia rasilimali za uvuvi pamoja na kuhakikisha biashara ya mazao ya uvuvi inaimarika...