TUTAHAKIKISHA MIRADI INAYOJENGWA INALETA TIJA KWA WANANCHI -MAJALIWA
NA MWANDISHI WETU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kusimamia ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi inayojengwa katika maeneo yote nchini yakiwemo...
RC MAKALLA ARIDHISHWA NA HALI YA MAJI RUVU JUU NA CHINI.
Atoa wito Kwa Wananchi kulinda vyanzo vya maji Na kuombea mvua Za Vuli zinyeshe ili maji yasipungue.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe....
RAIS SAMIA APONGEZA UFAULU SHULE ZA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Wakuu wa Shule zinazomilikiwa...
BASHUNGWA AAGIZA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KUPIMA MAENEO YAO NA KUPATIWA HATIMILIKI.
Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha maeneo...
AAT KUTOA SEMINA YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI
Na Magreth Mbinga
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Meloe Buzema amewataka wanafunzi kuacha kucheza barabarani wakati wanatembea wakiwa makundi ili...
TANZANIA SIO KAPU LA KUTULETEA DIGRII FEKI-WAZIRI MKENDA
Na Mathias Canal, WEST-Iringa
Serikali imesema kuwa haitafanya uzembe kwenye usimamizi wa Ubora wa elimu nchini hivyo imeitaka Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kuhakikisha...
TANZANIA YAPIGA HATUA KUBWA KATIKA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA UKIMWI
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kwa 50%...
WAZIRI BASHUNGWA AIPONGEZA NYAISHOZI SEKONDARI KUINGIA 10 BORA KITAIFA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Mbunge wa Jimbo la karagwe, Mhe. Innocent Bashungwa ameipongeza shule...
MHE. DKT. ASHATU KIJAJI AMEWAASA WAMILIKI WA VIWANDA KUONGEZA NGUVU NA KASI YA KUZALISHA...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amewaasa wamiliki wa viwanda kuongeza nguvu na kasi ya kuzalisha bidhaa katika mnyororo...













