SERIKALI YA ZANZIBAR KUAJIRI WALIMU 4,000
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema mara baaada ya ujenzi wa Shule na Madarasa katika...
SERIKALI YAMALIZA MGOGORO WA KANISA LA EAGT
Na. Mwandishi Wetu
Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelistic Assemblies Of God Tanzania (EAGT) Dkt. Abel Mwakipesile amesema mgogoro uliodumu kwa takribani miaka sita umekwisha...
ERB YAVITAKA VYUO KUTUMIA MIRADI YA KIMKAKATI KIMAFUNZO
Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB) imevitaka vyuo vyote vinavyotoa taaaluma ya uhandisi nchini kuhakikisha inaitumia kimafunzo miradi ya kimkakati inayoendelea kujengwa kwa...
WIZARA YA MAJI YAJA NA MATANKI YA MAJI YA PLASTIKI
Chamwino, Dodoma
Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji kwenye kata ya Dabalo Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma,...
TARURA YALETA FARAJA KWA WANANCHI MOMBA MKOANI SONGWE
Wananchi Wilayani Momba, Songwe wanefarijika baada ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kukamilisha maandalizi ya ujenzi wa daraja la muda katika...
TANZANIA NI MAHALI SALAMA KWA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bi. Pendo Godwe amesisitza kuwa tanzania ni sehemu sahihi ya kuwekeza kwa wawekezaji wa...
WATOTO WADOGO MARUFUKU KUFANYA BIASHARA BIHARAMULO
MKUU wa Wilaya Biharamulo Kemilembe Lwota ameziagiza Mamlaka za serikali za kata na vijiji wilayani humo kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kwenda shule...











