WAZIRI SIMBACHAWENE AKAGUA MAANDALIZI YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA:
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene pamoja na Kamati Tendaji ya maandalizi ya Maadhimisho...
WAZIRI NDALICHAKO ATAKA MIFUKO YA PENSHENI KUVUNJA KUTA ZILIZOPO OFISINI KWAO
Na Magreth Mbinga
Waziri wa kazi,vijana na walemavu Mh Joyce Ndalichako leo Julai 22 amekutana na wastaafu ili kusikiliza kero zao ambazo wanakumbana nazo wakati...
DKT. FRANCIS AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI HESLB.
Na Mwandishi Wetu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Bodi ya Mikopo ya...
HUDUMA YA MAJI KATAVI KUPATIKANA KWA UHAKIKA-MHE.MARYPRISCA MAHUNDI
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi kuwa serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi...
WAZIRI BITEKO ASISITIZA MIRADI YENYE MADINI MKAKATI KUENDELEZWA
Serikali imetoa agizo kwa wawekezaji katika Sekta ya Madini kuendeleza maeneo yao yenye madini ya kimkakati badala ya kuyaacha bila kuyaendeleza suala linalopelekea wenye...









